KakaKiiza
JF-Expert Member
- Feb 16, 2010
- 11,794
- 9,075
Miss Tanzania naona umesahau kuwa wewe ni mwakilishi wa taifa la Jamuhuri ya Muungano Tanzania,
Hivyo uwakilishi wako siyo kuwa unawakilisha jina lako kama Sitti Mtemvu bali unawakilisha taifa, Kama taifa lipopeleka mtu kupeperusha Bendera ya Taifa inamaana limemwamini kuwa huyu hana ukwasi wowote katika nchi yake!
Hivyo kunapokuwa na hali ya sintofahamu watanzania wanahitaji kujua mstakabali wa wingu linalo kuzunguka! Kama umedanganya umri ukaulizwa na waandishi kutaka kujua kwa ufasaha juu ya kitu kisicho kuwa cha kawaida kwako inabidi utoe majibu sahihi siyo kusema mimi mengine ni maswala binafsi!
Mfano uliulizwa mbona Pasi yako ya kusafiria na driving licence vilionyesha mwaka wakuzaliwa sasa ukiulizwa unasema hivyo ni vitu binafsi! Wakati kinachoongelewa ni kuhusu huo mwaka inamaana kama umedangaya katika pasi ya kusafiria ya nchi yako bado wewe siyo mtu sahihi wakuiwakilisha nchi! Ili utete hoja zako lazima uwe na uthibitisho kuliko kujibu maswali ya jumla!
Lundenga inabidi awajibike au wewe uwajibike kwani huna maelezo sahihi yakufanya wewe usivuliwe u-miss Tanzania!
Nakumbuka tangu siku unavaa ile crown wewe umekuwa Public figure hivyo ni wajibu wako kushirikiana na waandishi wa habari siyo ukiulizwa unasema this is too personal, unatakiwa kueleza kwa uwazi watu wakujue kiundani ili tusije kuwakilishwa na mtu si Mtanzania!