Miss Tanzania namba 2 (Lilian Kamazima) ''ana tatizo la uraia''

haya weeeeeeee.....!!!season two hiyoooo
 
Miss Tanzania S02E01 Ngoja nivute Hand Break
 
Leteni maushaidi kama yale ya Bi.Kidude Sitti.
 
na mshindi wa tatu achunguzwe mapema maana na huyu anaweza akajivua umiss
 
Season hii sijui itakuwa na episode ngapi?
 
aliwezaje kuwa jenerali kama si mtanzania? Huyo ni mhaya acheni kuchimbachimba sana, hata kama.baba yake ni mnyarwanda kama alizaliwa tz basi yy binti ni mtz.

kwa hiyo wanyarwanda na warundi wote waliozaliwa kipingi cha mauhaji ya kimbali ni watanzania kisa wamezaliwa tanzania???????????
 
Vigezo na kanuni lazima zizingatiwe. Kwani umri si ubaguzi? Msichana si msichana tu?

BTW, vipi zakia megji kupigira kura zanzibar wakati yeye ni mbara?

Suala la uraia ni la msingi sana. Huwezi kulidharau labda uwe ccm tu!.

Hoja hii sitachangia. Ya sitti inatosha.... Mambo ya uraia huo ni ubaguzi

hongera lilian
 
Hahahahah kazi ipo mwaka huu Lundega lazima awe mdgo kama piritoni :laugh:
 
Hahahahaha! Wa 3 atakua alikua kidume akabadili jinsia! Sitashangaa!
Embu jadilini mambo mengine sasa, huo u miss umempa faida gani mtu yeyote wa pembeni zaidi ya huyo miss na ndugu zake!?

Tunashupalia mambo yasio na umuhimu sana kwetu kwa kweli.
 
Wanajamvi tumekuwa na msuguano kuhusu Urai wa Jenerali KAMAZIAMA; kuhusu uraia wake na hili linaturudisha kule kule kuwa asili ya miss Tanzania ni Mnyarwanda.

Uchunguzi uanze upya

inasemekana miss jenerali ni mmoja kati ya makachero walio pandikizwa na kagame kuja kuichunguza Tanzania,Mtikila anaweza kututhibitishia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…