Miss Tanzania waliyojitokeza na kujitangaza kuwa wanasumbuliwa na gonjwa hatari

Miss Tanzania waliyojitokeza na kujitangaza kuwa wanasumbuliwa na gonjwa hatari

Money Stunna

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2011
Posts
13,053
Reaction score
6,304
Miss Tanzania wawili, Happiness Millen Magese (2001) na Angela Damas (2002), wamejitokeza na kujitangaza wazi kuwa ni miongoni mwa mamilioni ya wanawake duniani wanaosumbuliwa na tatizo liitwalo ‘endometriosis’ ambalo huwafanya wapate maumivu makali wakati wa hedhi na pia kuwafanya wasiwe na uwezo wa kushika mimba. Tatizo hilo husababisha seli hai zinazounda mji wa mimba kukuwa/kuota nje ya mji wa mimba. “To all the ladies who have to live with the sufferings of endometriosis- May sharing our messages make us realize we are not alone, and may the sharing allow us to look for ways to help us live with less pain,” ameandika Angela Damas.
Ujumbe huo umemvutia, Happiness Magese ambaye naye aliamua kujitangaza wazi kuwa na tatizo hilo na kuanzisha kampeni ya ‘endometriosisafrica’.
“Praying for more women to speak out and share their stories .Wow this made my day ….thank you my darling Angela(Miss Tz 2002) for sharing your story .I feel better that we all finally speak out . Insta fam Angela Damas was actually the next queen after me in Wow this made my day ….thank you my darling Angela(Miss Tz 2002) for sharing your story .I feel better that we all finally speak out . Hi sisters Angela Damas was actually the next queen after me in Tanzania . How would Could one tell this amazing ,smart n beautiful person has this battle # endo power #we can do this together emojiemojiemoji SKINkissedbird we can save one’s happiness n pains. Let’s speak out cc Ladivamillen Tanzania.”
Millen anasema ameshafanyiwa upasuaji mara 12 hadi sasa Wakati wa kutangaza kuwa na tatizo hilo, March 16 mwaka huu, Millen aliandika kwenye Instagram:
It took me 17 years of struggle ,12 surgeries ,blocked Fallopian tubes ,1digestive system surgery,1ovary failure ,1miscarriage and still in pains I don’t know when it will stop.For the help of Ritadominic awareness and padma Lakshimi my friends Funminewyork byanakusophy Adhiamboml n my family . I’m able to come out today and say this “I wear Yellow for me and all women from all over the world who struggling with Endometriosis . It’s ok to talk about our menstrual pains . You’re all warriors #speak about it #Dont ask for sympathy ,ask for help before it’s too late #March 2014 millions women walk for endometriosis #Dont loose hope. By rising this awareness we could help the cause to be able to give us free or reasonable price which can help all women to afford the treatment.#teamendometriosisafrica#Tanzania.
 
Last edited by a moderator:
Watumie tu dawa za michango za kienyeji wataponaa sema washagajifanya wazunguu
 
Endometriosis sio chango....ni tatizo kubwa sana mimba ikitunga tu yenyewe inavuruga. Ila Mungu yupo atawaponya.
 
Ni huruma sana kuona mwanamke yupo hivyo,kila mwanamke anahitaji kuitwa mama.Ushauri wngu kama hizo tiba za kizungu zimeshindikanika wageukie hizi tiba za kina Ngengemkeni Mitomingi.
 
Ni huruma sana kuona mwanamke yupo hivyo,kila mwanamke anahitaji kuitwa mama.Ushauri wngu kama hizo tiba za kizungu zimeshindikanika wageukie hizi tiba za kina Ngengemkeni Mitomingi.

Hiyo ni michangooo waliacha kunywa dawa zamanii wameiacha mpakaa imekomaaa ndio hivyooii wenzao tunakunywaa dawa unachanganya na kwenye chaii tatizoo kwishaaaaaa ukijichenga tu mimbaaa
 
Hiyo ni michangooo waliacha kunywa dawa zamanii wameiacha mpakaa imekomaaa ndio hivyooii wenzao tunakunywaa dawa unachanganya na kwenye chaii tatizoo kwishaaaaaa ukijichenga tu mimbaaa

Uzungu ukipitiliza nao tatizo, utakuta tiba ya ugonjwa wao unaweza kuta ni kuchemsha majani ya mmavi mmavi na kuyanywa maji yke au kutambika kwenye makaburi ya wahenga wao.Haya matiba ya kizungu kukatana sijui fallopian tube saa nyngne yanadundaga.
 
Mmmh Millen! hili jina linanikumbusha kitu
 
mimi nilipigwa Zongo nikawa sipati choo sicheuwi sijambi kwa siku 3 nikaenda hosp nikapewa dawa za siku 21 akaja mama m1 akamilambisha magadi nilcheuwa kitu kirefu kinanuka nikapona mpaka leo zile dawa za hosp nikaacha
 
Duh pole zao ila inasikitisha sana

Ina maana kila anaepata pain wakati wa menstrual anao huo ugonjwa??

Hebu nikafanye check up fastaaaaaaa
 
Ngoja waendelee na matibabu yao ya hosp waendelee na maumivu hadi mwisho...
 
mimi nilipigwa Zongo nikawa sipati choo sicheuwi sijambi kwa siku 3 nikaenda hosp nikapewa dawa za siku 21 akaja mama m1 akamilambisha magadi nilcheuwa kitu kirefu kinanuka nikapona mpaka leo zile dawa za hosp nikaacha

Ilikuwa pande za pwani ya kaskazini nini.
 
Wengine ni psychological pain zinawaletea physical symptoms. How can someone undergo 12 surgeries na hao madaktari wake hawajiulizi tuu?? Mtu anakuja kafanyiwa upasuaji Mara 5 kama sio caeserian section lazima ujiulize zaidi ya Mara 2, why??
 
Back
Top Bottom