Tumetumia muda wetu kumpigia kampeni huko twitter watu wakampeleka nusu aingie top ten, leo natufanya hivi..Ngoja watakuja tu tena kutuomba sapoti na vichupi vyao.
Tumeshachelewa ametutumia tukampigia kampeni, watu wakadownload mpk application. Leo hatuna maana woooote.
Wanawapaga moyo tu wenye sura ngumu kua umiss sio sura lakini talent na upstairs uwe vizuri lakini sijawahi kumuona miss world mbaya.
Kwahiyo basi huyu wetu kivyovyote asingeshinda.Mwenyewe alikua muoga pia.
Yaani naishiaga pale kwenye top 10 naenda zangu kulala, manake wanapoanza kuchagua top 5 unashangaa wanawamwaga warembo wote wanabaki sura ngumu tupu, khaa!! kisa eti upstairs wako njema, shenzi zao!! No maana baada ya mashindano miss mwenyewe anakosa mvuto kabisa machoni mwa watanzania, yaani watu wanashindwa hata kufuatilia miss wetu anafanya nini kwa jamii, coz no mvuto wa sura na umbo!!
Hahahaa kama mwaka jana aisee walinikera kuna msichana mmoja alikua mzuri huyo balaa.Alikua miss nini sijui ila alikua anatokea pande za manyara huko.
Mwanzoni nilidhani atashinda yeye lakini akaishia kuvishwa taji la mrembo mwenye mvuto katika picha.Ajabu wakaja kutuchagulia libibi Sitti!
Halafu nilikua kwenye process za kukutafuta maana mida inakaribia hivyoooo.....!
Yaa ya mwaka jana ndo ilituvuruga zaidi kweli
Ngoja tufuatilie mpambano sasa, leo nataka kujivika roho ngumu nione hadi mwisho, sijui ka ntaweza lakini
Haya na tuhamie zetu kule kwenye sports.
Ndio nilitaka kukuuliza kama stamina ipo au lah?
Mmmh aisee, nimechungulia tu ule uze na kuanza kugonga like kadhaa kwa wadau naona mapigo ya moyo yanaenda resi, ngoja nitaangalia matokeo ya mwisho tu aisee!! naona nimekosa guts kabisaaa
Wanawapaga moyo tu wenye sura ngumu kua umiss sio sura lakini talent na upstairs uwe vizuri lakini sijawahi kumuona miss world mbaya.
Kwahiyo basi huyu wetu kivyovyote asingeshinda.Mwenyewe alikua muoga pia.