Miss Tz 2002 Angela Damas ndio alinifanya niyapende mashindano ya warembo

Civilian Coin

JF-Expert Member
Joined
Dec 2, 2012
Posts
2,305
Reaction score
4,380
Kipindi hiki cha mwaka 2002 nilianza rasmi kufatilia mashindano ya wadada warembo, nilimshuhudia Madam Angela Damas akiibuka mshindi na kuchukua taji la Miss Tanzania 2002.

Nilipenda zaidi jinsi alivyo jibu maswali na kujiamini kipindi anajibu maswali. Jinsi alivyojibu tu nikajua anakwenda kushinda na akashinda kweli.

Nilivutiwa sana na mashindano haya mpaka Leo yaani huwezi kunipotosha nikakukubalia. Nawapenda sana hawa wadada Mimi Deogratius Nalimi Kisandu.

30 Desemba 2017.
 
Angela Famas..?? Tanzania haijawahi kuwa na miss mwenye jina FAMAS, mtemi labda ulimaanisha Angela Damas.
Nasikiaga una nyota ya kupendwa na kina anjela tena wote weupe, baada ya kuporwa yule sasa umeingia kwa angela mwingine!
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Angela Famas..?? Tanzania haijawahi kuwa na miss mwenye jina FAMAS, mtemi labda ulimaanisha Angela Damas.
Nasikiaga una nyota ya kupendwa na kina anjela tena wote weupe, baada ya kuporwa yule sasa umeingia kwa angela mwingine!

Nimekosea sepelingi badala ya D nikaweka F ni DAMAS. Naomba mod atu rekebishie taito.
 
we nawe! na mamiss wako wa zamani
 


Inatosha sasa achana na.tabia ya kutuma tuma picha za wake za watu sasa!!
 
Angela famas tena.

Sawa deo balimi kisandu
Ujue Deo ana mpango wa kushtaki watu wanaokosea jina lake, kuanzia mapadri, walimu,mwajiri n.k hilo sekeseke lisijekukukumba πŸ˜€
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…