McDonaldJr
JF-Expert Member
- Sep 25, 2013
- 6,386
- 7,558
Duh anahaingaika huyu,nachoona anazeeka wakati anajidai under 30
eti huyu ana miaka 22!!!!,get the f**k outta here
Daah, Mungu anisamehe ikla kiukweli ana kichwa kama Baba Ubaya. Kile kikatuni cha Dr Levy..
"Nlikuwepo":bolt:
Daah, Mungu anisamehe ikla kiukweli ana kichwa kama Baba Ubaya. Kile kikatuni cha Dr Levy..
"Nlikuwepo":bolt:
Anakichwa utadhani taa ya baiskeli...
Aisee hapendezi kunyoas kuchwa kama mlima kilimanjaro hapa hata domo akisepa ni halalii akafanyiwe surgery kichwaa kiwe poaaa lollll
shikamoo muchina
Hahaaaa, soon atakuja huyo h.o.d na kukuambia, "unajua nakuheshimu!"Pozi za sura kwenye hii picha kama h.o.d