Mndengereko
JF-Expert Member
- Mar 24, 2011
- 7,296
- 3,398
hii picha niliopna imepostiwa usiku sana jana,hivi huyu rj nae analala kwa diamond na wema ama? alijikataa kwenda kwake.WEMA I SEPETU kaamua kutia para kichwani sijui ndo u-Amber au niaje ndio muonekano mpya.
View attachment 145513View attachment 145514View attachment 145515View attachment 145516
hii picha niliopna imepostiwa usiku sana jana,hivi huyu rj nae analala kwa diamond na wema ama? alijikataa kwenda kwake.
baada ile picha yake kuvuja nini. ila mmh smh wema mzee sijui ni hayo ma makeup
inawezekana halafu hamegi kisela kweli huyu??Haaaaahaa atakua anakaa na Diamond uyu hawezi kurudi Tandale ni kweli ilikua jana usiku sana kama 8 ivi ngoja aje warumi atuambie uyu RJ anakaa wapi maana ana exposure na hawa watu.
inawezekana halafu hamegi kisela kweli huyu??
Picha ipi tena iliovuja mbona unaleta hekaheka za moyo embu fanya kutujuza wengine Darisalama mpk kutokee msiba ndio tuje.
Hahaaa namaanisha ile iliyotoka akiwa bila makeup yupo saluni alafu kasuka twende kilioni
Jamani imetosha mbavu zinaniumaaa lol
Haaaahaaa nimekusoma binamu nlijua tayari zile za mambo yetu kumbe ila kasuka twende kilioni nliing'aza umu JF.
Ha ha ha mi mwenyewe namuheshimu hadi naumwaaaaHahaaaa, soon atakuja huyo h.o.d na kukuambia, "unajua nakuheshimu!"
"Nlikuwepo":bolt:
Ha ha ha mi mwenyewe namuheshimu hadi naumwaaaa
Ha ha ha kweli diamond sukari ya warembo...Nilisikiaga story za hao watu, kipindi kile wema alivyoachana na ndomo, akawa anamganda rommy amsaidie warudiane na ndomo, nasikia wakaenda hadi kwa waganga rommy na wema ili ndomo amrudie wema, nasikia wema alimuaid romy atamnunulia gari endapo watafanikiwa, basi bhana mambo yakawaendea poa, hlo gari alilipata basi? Nasikia kaambulia s4 , mjini kuna vituko hatar
Nilisikiaga story za hao watu, kipindi kile wema alivyoachana na ndomo, akawa anamganda rommy amsaidie warudiane na ndomo, nasikia wakaenda hadi kwa waganga rommy na wema ili ndomo amrudie wema, nasikia wema alimuaid romy atamnunulia gari endapo watafanikiwa, basi bhana mambo yakawaendea poa, hlo gari alilipata basi? Nasikia kaambulia s4 , mjini kuna vituko hatar
Hahahaha asa huyo romy diamond si ndugu yake!