Miss TZ 2006 kaibukia hapa

Mimi si fan wa Wema.

Mwanamke anayenyoa nywele kama hivyo Tanzania anaonesha confidence ya hali ya juu na kutofuata orthodoxy.

I would rather deal with that instead of yale manywele feki na "makalikiti" yanayonukaa.
 
duu!bora aendelee kuvaa hio midude yake bichwa utafikiri treni ya Mwakymbe!
 
Aisee hapendezi kunyoas kuchwa kama mlima kilimanjaro hapa hata domo akisepa ni halalii akafanyiwe surgery kichwaa kiwe poaaa lollll

Unamuona tofauti kwa sababu macho yako yalimzoea kivingine. Tuwaombe watu watutupie hapa picha za Halima Mdee na wenzake walipokuwa JKT kisha uone waluvyokuwa baada ya kupiga pala.

Akiziacha hivyo kwa muda mregu utamzoea hivyo.

Money Stuna tuwekee picha za kina mdee za JKT.
 
Haaaaahaa atakua anakaa na Diamond uyu hawezi kurudi Tandale ni kweli ilikua jana usiku sana kama 8 ivi ngoja aje warumi atuambie uyu RJ anakaa wapi maana ana exposure na hawa watu.

Yahaya
 
Last edited by a moderator:
Mimi si fan wa Wema.

Mwanamke anayenyoa nywele kama hivyo Tanzania anaonesha confidence ya hali ya juu na kutofuata orthodoxy.

I would rather deal with that instead of yale manywele feki na "makalikiti" yanayonukaa.

Hata mm simchukii wema ila kajala anapendeza zaidi akinyoa upara
 
The irony is, part of the confidence I am referring to is being able to say "I don't care what you like or what you think looks good, this is what I like, I am doing this for me, not for you"

Very liberating.
 
she has no confidence at all, if she does, she could not change her look immediately after peoples negative comment, siku hizi anavaa Wigi , watu wabaya eti mama ubaya dah.
 
Kiuhalisia ni wanawake wachache sana ambao wanaweza kuwa na style moja ya nywele hata Kajala huwa anavaa wig.......ni fashion statement and yes ni CONFIDENCE!....mnyonge mnyongeni.....ila........utamalizia...
 
Good point.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…