Nyie ndio walewale mnaopeleka zawadi ya TV kijijini wakati hakuna umeme wala network yoyote, sijapinga hii zawadi, ila zawadi iendane na mlengwa sio unakurupuka tu.Anayepaswa kumchagulia zawadi mtu ni mtoaji mwenyewe, sasa ndugu yangu wewe ni nani hasa kutoa ushauri kama huu usio na kichwa wala miguu.
Sponsors and Home watangaza kuwa gari ni jipyaaa.
Point yangu ni kwa nini wasitoe hiyo cash kama zawadi kuliko kumbebesha mtu mzigo wa kutunza jigari kama hili? Kumbuka mlengwa wa hii zawadi ni below 25 yrs.
Anayepaswa kumchagulia zawadi mtu ni mtoaji mwenyewe, sasa ndugu yangu wewe ni nani hasa kutoa ushauri kama huu usio na kichwa wala miguu.[/QUOT
Wewe una mtindio wa ubongo sio bure!
Hakunaga zawadi nyingine zaidi ya gari! Hebu wawe innovative bana.
Leornado ndugu yangu kumbe hujajuwa janja ya hawa organisers/sponsors mpaka sasa ? idea nzima ya kumpa gari mtu ambaye labda hata hela ya petroli au matengenezo hana ni kumjengea utegemezi ili baadae waweze kumpata/kumtumia kirahisi.Wengi wa hawa mabinti wamemaliza form 4/6 na wachache wako chuo na majority wanatoka kwenye familia duni sasa hapo malizia mwenyewe utajua maana ya kupewa gari.Kama ningekuwa na uwezo haya mashindano ya miss Lundenga na yule mbabaishaji chips na miss utalii yake ningeyafutilia mbali,afadhali kidogo yule mama sarungi na miss universe yake.Sponsors and Home watangaza kuwa gari ni jipyaaa.Point yangu ni kwa nini wasitoe hiyo cash kama zawadi kuliko kumbebesha mtu mzigo wa kutunza jigari kama hili? Kumbuka mlengwa wa hii zawadi ni below 25 yrs.
Hahaha! umenikumbusha NEC ya CCM iliposema kuwa Spika wa 2010 lazima awe wa kike kigezo ambacho lazima Sitta kingemshinda.Ina maana mrembo wa Miss TZ anapewa zawadi ya gharama kuliko mshindi wa Vodacom Premier league, inabidi wachezaji waingie kwenye urembo sasa.
<br />nakubaliana na wewe wangempa pesa instead ingewafaa sana......