Kennedy JF-Expert Member Joined Dec 28, 2011 Posts 54,894 Reaction score 64,043 Nov 5, 2012 #41 Lundenga niliwahi sikia kuwa waislam wenzake eti waliwahi mkataza asishiriki kuandaa maana akifa hawatamzika. Mujahidina wana mambo kweli,Uncle Lundenga kagoma ataona wapi totozi nzuri ?
Lundenga niliwahi sikia kuwa waislam wenzake eti waliwahi mkataza asishiriki kuandaa maana akifa hawatamzika. Mujahidina wana mambo kweli,Uncle Lundenga kagoma ataona wapi totozi nzuri ?