Jamani habari za maisha na masiku tele,kwaweli nawamiss na kuwapenda sana
twinushka??? mliendaga wapi wewe na Bujibuji???
leo mmerudi eee???
nakusemea..................
welcome bk dear!!
Jamani habari za maisha na masiku tele,kwaweli nawamiss na kuwapenda sana
Fidel lol,kumbe bado unanyata ah ahah
uwape hao kwani kajifungua nani?basi jipe mwenyewe
Jamani habari za maisha na masiku tele,kwaweli nawamiss na kuwapenda sana
this is wat I missed lol!!!!!!!!!!!!!!!!!!uwape hao kwani kajifungua nani?basi jipe mwenyewe
Mpe pole. Hivi kwa operesheni ni kujifungua au kuzaa?Karibu mama nasikia ulikuwa maternity leave hongera sana.
Welcome home.
Mpe pole. Hivi kwa operesheni ni kujifungua au kuzaa?
Bujibuji yuko bize kumlinda mchumba wake asimkimbie!
kheeee asikimbie tena!!! atamlinda mpaka azoee kuw amchumba wake au??
Mpaka atamwoa! Maana alisema akilala usiku anaota mchumba kamkimbia, akishtuka anakuta yupo kalala jirani yake...!!