Miss universe 2010: Hellen dausen photos

kwa namna hiyo ya kujibu masuala ...............lazima akose nafasi.

the worst date she has ever been on..........is when a guy asked her to pay half of the bill?!
 
Duh! nillikuwa sijaona meno yake. Kwa kweli yanatakiwa kufanyiwa kazi yapangike vizuri. Aende kwa denstist wakamwekee braces na hatimaye retainer kuyanyoosha....

Na hiyo pua inahitaji marekebisho kidogo maana naona imepinda kiaina....
 
kwa namna hiyo ya kujibu masuala ...............lazima akose nafasi.

the worst date she has ever been on..........is when a guy asked her to pay half of the bill?!

yeah, she's fvcked up..huku unasema wanawake wanakuja strong..halafu huku unakataa kulipa bili ya chakula chako mwenyewe halafu huoneshi kuregret..

kaaz kwelikweli..
 
We must thank God for the photoshop CS. Otherwise hakuna kitu hapo! Ni kusindikiza wengine tu!:A S 8:
 
Duh! nillikuwa sijaona meno yake. Kwa kweli yanatakiwa kufanyiwa kazi yapangike vizuri. Aende kwa denstist wakamwekee braces na hatimaye retainer kuyanyoosha....

Na hiyo pua inahitaji marekebisho kidogo maana naona imepinda kiaina....

Hayo meno na hiyo pua zinatoa taswira ya samosa yake - super!
 
Duh! nillikuwa sijaona meno yake. Kwa kweli yanatakiwa kufanyiwa kazi yapangike vizuri. Aende kwa denstist wakamwekee braces na hatimaye retainer kuyanyoosha....

Na hiyo pua inahitaji marekebisho kidogo maana naona imepinda kiaina....

Wewe jaribu kumpa microphone yako uone jinsi meno mabayo hayajapangika yanavyofanya kazi!!!!!!!
 
We must thank God for the photoshop CS. Otherwise hakuna kitu hapo! Ni kusindikiza wengine tu!:A S 8:

Thanks Pape kwa kuliona hili. I met with this lady kwenye plane some weeks ago, kweli nilikuwa disappointed big time. Hizi photoshop noma sana kwa kweli sometimes I think its good to be real. Amazingly kwa bongo hivi kwani watanzania hata kwenye siasa wanachagua sura kama ilivyo kwenye umiss na umr?? I'm sure mmeona mabango ya wagombea picha zao zilivyopigwa photoshop/chakachua. Shame on us kwa kweli!
 
Duuh me nilikuwa na mategemeo kwenye top ten kumbe hata hapo hakufika lol

Miss Mexico Universe 2010 Jimena Navarrete nae mrembo

Miss universe 2010 nimempenda kweli kweli sijui kapaka make up mpaka miguuni??

<TABLE><TBODY><TR><TD>Miss Universe 2010</TD><TD>
  • Mexico - Jimena Navarrete
</TD></TR><TR><TD>1st Runner-up</TD><TD>
  • Jamaica Β– Yendi Phillipps
</TD></TR><TR><TD>2nd Runner-up</TD><TD>
  • Australia Β– Jesinta Campbell
</TD></TR><TR><TD>3rd Runner-up</TD><TD>
  • Ukraine Β– Anna Poslavska
</TD></TR><TR><TD>4th Runner-up</TD><TD>
  • Philippines Β– Venus Raj
</TD></TR><TR><TD>Top 10</TD><TD>
  • Albania Β– Angela Martini
  • Guatemala Β– Jessica Scheel
  • Ireland Β– Rozanna Purcell
  • Puerto Rico Β– Mariana Vicente
  • South Africa Β– Nicole Flint
</TD></TR><TR><TD>Top 15</TD><TD>
  • Belgium Β– Cilou Annys
  • Colombia Β– Natalia Navarro
  • Czech Republic Β– Jitka VΓ‘lkovΓ‘
  • France Β– Malika MΓ©nard
  • Russia Β– Irina Antonenko
</TD></TR></TBODY></TABLE>
 
Miss Universe akivalishwa taji lake la ubingwa. Wabongo lini tutafika hapo?.
 
baada ya kucheki hiyo video mmmh ....... simlaumu huyu miss wetu lol...maji yalizidi kwa unga
mix with yours
 
Mmeona makanyagio yake lakini? Itakuwa ngumu
 
aaahhh....bobbyyyyyyyyyyyyyyyyy, kwenye ndege sio eh? halafu ukawa disappointed eh??

bbbboooobbbyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyy
 
ndio maana hakuingia kwenye top 15 kwa kuwa kwenye kitovu waweza kunywa maji :confused2:
 
Naomba uzungushie RED kwenye picha hii pia,

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…