I told ya, Kui!.
....Jamaica masikini!! Kitu USA I think! Colombia! Anastahili.
Anastahili kwa kweli
Yegomasika weee mkali lol
.....haha!, afadhali hujakubali ku bet, ningeula.....lol!
Hahahaha ungekomaje?
Ningeweka vidola chini leo ningelia kama yule shabiki namba moja wa yanga....lol!
Leo ilikuwa imekula kwake!. Ana bahati sikutaka kubet nae!.
zipi hizo mkuu?!
Mbona alikuwepo, hajakatiza hata hatua ya mwanzo!.
Nilifikiri wangemuona mnene na ule m shape!, maana wazungu hawakawii!