magufuli kweli wakwao ila hayo mengine waongooooooooSiwashangai wakenya maana wanasemaga hata samata ni wakwao,,maguful wakwao,,,daaah tuwasamehe tu
MAULANA ATUTANGULIE NCHI YETU TANZANIA MILELEWakenya wana wivu... always. Miss kenya amekosa cha kujitetea..
Eti wamasai wako kenya ... si tanzania... ...!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]magufuli kweli wakwao ila hayo mengine waongoooooooo
Magufuli??!!!??[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]Siwashangai wakenya maana wanasemaga hata samata ni wakwao,,maguful wakwao,,,daaah tuwasamehe tu