Asa 2012 nayo ni zamani? [emoji848]Has been years and years since I was here ! Definitely miss JF! Kina lara1, mzizi Mkavu,Daniel, Natalia nk nk
Miss al good days when there was no instagram drama or snap! Enzi za kina blog za mange na sintah LoL Current news ni hapa ama fb! How is everything and everyone! How is jf, what’s new .. wash poppinnnn[emoji13]
And what’s your point exactly! ? Hujaelewa topic ama Vipi?Instagram imeanza 2010 wew jamii forums umejoin 2012 sasa unasemaje hakukua na insta,sema hukua unaijua insta! Ulibahatisha kuijua jamii forums basi ukahisi ipo pekeake kama social netwrk duniani.
Rudia what I said and if u don’t have anything nice to say just don’t say it. Merry ChristmasInstagram imeanza 2010 wew jamii forums umejoin 2012 sasa unasemaje hakukua na insta,sema hukua unaijua insta! Ulibahatisha kuijua jamii forums basi ukahisi ipo pekeake kama social netwrk duniani.
Acha mbwembwe...kama lengo lako kujulikana wa zamani humu umefanikiwa lkn otherwise,hyo approach yako mbaya kudis wakati wa sasa kwa kusifia wa zamaniAnd what’s your point exactly! ? Hujaelewa topic ama Vipi?
Miaka ya blogs za akina Mange mimi nilikuwa nanyonya nyonyo ya Mama yangu kipindi hicho,kwa nini wewe usiwe ni bibi sasa hivi kama kipindi hicho ulikuwa ni kijana?Unakataa kuzeeka wakati wewe ni ajuza tayari??![emoji16][emoji16][emoji16]Hihihi
Stop lying . Umenyonya for how long? Ukiniita bibi I don’t mind, usipanick, wabibi ndio tunabusara sasa.Miaka ya blogs za akina Mange mimi nilikuwa nanyonya nyonyo ya Mama yangu kipindi hicho,kwa nini wewe usiwe ni bibi sasa hivi kama kipindi hicho ulikuwa ni kijana?Unakataa kuzeeka wakati wewe ni ajuza tayari??![emoji16][emoji16][emoji16]
Hello.. this is like a year comment lol well real life took over, kids , work, school and all that. I’m here on and off . How are you?Where were you been for the past 5 years?
I am interested to know the story, may be you can inspire me to do the same.
But all in all, welcome back.
Hello.. this is like a year comment lol well real life took over, kids , work, school and all that. I’m here on and off . How are you?