Acha utani bana...kule kwewnu wote mmekimbia si wewe wala BAK wote mmelals mbele kabaki McDonaldJr tu@everlenk na Ntuzu, kweli hizi people sijaziona sportini mda mrefu. Wanachangamsha balaaa
Haha the sooner the betterBasi huu ni muda muafaka nije kujiokotea mzigo...!
Iliyotajwa kama Nyumbani Longue na Arusha One ni kiwanja hatari sanaNdio vyuma vimekaza au uhenga?
Nipo nasoma tu, huwa nachoka mwili hadi roho ndio maana sitii nenoAcha utani bana...kule kwewnu wote mmekimbia si wewe wala BAK wote mmelals mbele kabaki McDonaldJr tu
We are, and always will be "darlings", You know what that means eeh?Hivi ni tabia gani hata hukunialika I thought we were "darlings" [emoji16][emoji16]
Acha utani bana...kule kwewnu wote mmekkimbis, si wewe wala BAK wote mmelals mbele kabaki McDonaldJr tu
Huongopi kitu cha ncha kali?Aah wapi ukoshaanza kuitwa yule mama hamna competition nskuja huku naringa
Then why...why didn't you alikaring me[emoji16]We are, and always will be "darlings", You know what that means eeh?
Kule kunaboa hakuna uchangamfu kama siku za nyuma hata Rutashubanyuma kakimbia kajaa tele kwenye uzi wa likes. Sijui kama atarudi tena kule.
Maswali yako kwake yalionesha ugeni wako kwake nikahisi siyo wewe.Labda umuulize yeye maanake mimi ndio nawapa wahusika kitu hac ncha kali..
Usiniambie muda wangu wa kukuringia umeshaishaAah wapi ukoshaanza kuitwa yule mama hamna competition nskuja huku naringa
Hizo ni siri za darlings, tutaongea...Then why...why didn't you alikaring me[emoji16]
Iliyotajwa kama Nyumbani Longue na Arusha One ni kiwanja hatari sana
Hiii mada kama inakuwa tamu vileeUsiniambie muda wangu wa kukuringia umeshaisha
Huongopi kitu cha ncha kali?
Akishakuwa mama kawa 'sumu'
[emoji144] [emoji144] [emoji136] [emoji136]Labda umuulize yeye maanake mimi ndio nawapa wahusika kitu hac ncha kali..
Maswali yako kwake yalionesha ugeni wako kwake nikahisi siyo wewe.