Mission failed kwa GSM

Janja janja kaona hamumtangazi kimataifa ameamua kupitia uwanja wa uwani atangazwe na mnyama simba

 
Janja janja kaona hamumtangazi kimataifa ameamua kupitia uwanja wa uwani atangazwe na mnyama simba

View attachment 2039867
Money talk,ndoa ya mikia na tff ya karia iliyowabeba mikia kwa miaka 4 ndio imeishia hapo,kolokwinyo msitegemee fair yoyote toka tff kwa sasa,na tff inawasubiri match zijazo mje na upupu kama huu,nyie nani hii weekend azam fc atavaa logo ya GSM na mabango yatakuwepo uwanjani,tunawasubiri mikia next matches mgomee
 
Haiwezi kua imefeli mpaka sasa tayari amewin katika tumemtangaza zaidi kuliko simba wange kubali kuivaa

Hivi huoni kama GSM anawapoteza wateja ambao ni mashabiki wa Simba kwa ajili ya chuki inayojengeka kuwa analeta uhuni katika ligi.Amini nakwambia,hii inamuharibia zaidi GSM kibiashara kuliko unavyofikiria.Hawa kina na Manara ni swala la muda tu,atakuja kuwaona ni liability kwake
 
Tatizo Yanga wanajiona ndo wadhamini Wenza wa ligi. Kwa siasa za Simba na Yanga huu mkataba utavunjwa tu
 
Mkataba wa GSM na tff upo pale pale,busara imetumika ili tu kesho msikimbie,baada ya hapo ndio mtajua hamjui,hamna sapoti ya timu hata 1 kwenye ligi yenye timu 16,tunawasubiri mkagomee mabango mkicheza na kmc ili tuanze kuwanyoosha kikanuni
Simba ni kubwa zaidi ya hivyo vitimu 15 vilivyobaki
 
Mkataba wa GSM na tff upo pale pale,busara imetumika ili tu kesho msikimbie,baada ya hapo ndio mtajua hamjui,hamna sapoti ya timu hata 1 kwenye ligi yenye timu 16,tunawasubiri mkagomee mabango mkicheza na kmc ili tuanze kuwanyoosha kikanuni
Mnatafuta Ubingwa kwa gharama kubwa mno.

Ubingwa unapatikana kwa kusakata soka la uhakika uwanjani na si kwa ulaghai wa kuwekeza kwenye timu shindani.
 
Umefanya wapi huu utafiti au ni hisia zako?Bahati mbaya watanzania hatupo hapo ulipo wewe!
 
Kumbe Emirates nae kaona Madrid haitangazi vyema ndiyo maana akaenda Arsenal? Akaenda Ac Millan? Akaendaga PSG? nilikuwa sijajua aisee.
Haviendani na ulichokiandika hapa 👆 bosi wenu janja janja sana
 
Yanga ni mazuzu. Wamezuzuliwa na GSM, ambaye kasababisha hadi wamemwokota mropokaji mmoja eti ndiye msemaji wao. Kutwa kucha yupo mitandaoni anaandika mipasho na mafumbo utafikiri mwanamke wa Kiswahili.
 
Yanga ni mazuzu. Wamezuzuliwa na GSM, ambaye kasababisha hadi wamemwokota mropokaji mmoja eti ndiye msemaji wao. Kutwa kucha yupo mitandaoni anaandika mipasho na mafumbo utafikiri mwanamke wa uswahilini.
 
Timu 15 zimekubali ni moja ndio imefeli,sasa unasema mission failed?

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…