MKATA KIU
JF-Expert Member
- Nov 22, 2010
- 3,410
- 8,184
nilikuwa namchukulia poa misso misondo wakati anatrend mwanzoni.
ila nimegundua sio mtu poa huyu kijana. kila siku anabuni biti mpya na unakuta kali kuliko ile ya zamani.
ushauri wangu kwake ajiongeze apate mtu wa kumuandikia na mistari kidogo tena iwe ya kiswangilish.. kiingereza kwa mbalii maana soko la nje lazima uweke na kizungu kidogo kama diamond anavyofanya.
sample za biti zake anazozitengeneza miso misondo zina vibe sana. kuliko hata za maproducer wazoefu
Madansa wake wabadilishwe wawe kama waimbaji na madansa.. kwenye performance wasiwe wanacheza tu na makoti yao machafu kila siku, wawe wanabadilika badilika . .. wawe wanatia vibe kwa kuimba pia nyimbo zao za vibwagizo tu
cabbo snoop alipiga sana hela africa nzima kwa vibe tu, naona misso nae ana uwezo huo
TAZAMA UBUNIFU WA BITI YA MISO MISONDO KWENYE NYIMBO YA MAJONZI MISIBANI TUTAONANA TENA