Mistari kwenye Tv ya Hisense

Mistari kwenye Tv ya Hisense

BEZO

JF-Expert Member
Joined
Jul 15, 2023
Posts
1,770
Reaction score
4,449
Msaada wenu wakuu,Tv yangu aina ya Hisense smart (VIDAA) NCH 43 imechora hii mistari miwili miyeupe. Tatizo linaweza kuwa ni nini?

IMG_20240610_131139_392.jpg
 
Je kama ipo out of warranty? Maana hata yangu imekuwa na hiyo mistari. Je shida ni nn?
 
Tujitahid sana kununua tv org ila imekua ni changamoto kubwa kuzipata Tanzania , best soln muagize aidha Nje hasa Uchina kwenye verified stoo au huko Nairobi
 
TV ni kununua Kwa verified suppliers waliopo samora na mcity the rest🙌
 
Jamani muelewe swali, ishu sio kwamba TV sio original, au point of purchase, ameukiza, mistari kama alivyoonyesha hapo, TV yake ni OG. Hata yangu ni OG. Sasa swali lake hiyo mistari inasababishwa na nini? Kwa mtaalamu atakumbia ni abcd. Ila ambae hana jibu atasema nunua original, kwani yeye amesema sio original?
 
Back
Top Bottom