Jamani muelewe swali, ishu sio kwamba TV sio original, au point of purchase, ameukiza, mistari kama alivyoonyesha hapo, TV yake ni OG. Hata yangu ni OG. Sasa swali lake hiyo mistari inasababishwa na nini? Kwa mtaalamu atakumbia ni abcd. Ila ambae hana jibu atasema nunua original, kwani yeye amesema sio original?