Mistari mapajani

Hapo labda useme mikorogo inaweza kuchangia kuionyesha zaidi. Maana ukisema ni ugonjwa unaotokana na matumizi ya mikorogo unawaweka pabaya hata wale ambao hawaujui mkorogo lakini wanazo hizo stretch marks. Zinatibika, inahitajika uvumilivu tu na kutumia mafuta vizuri.

Mikorogo inazidi kuionyesha dhahiri, hata asie na interest anaona njisi ngozi inavyochana.
 


Hapa cream imetumika ila haiwezi kuondoa tatizo moja kwa moja. Kwa hakika kumalizika si rahisi. Kinachotakiwa ni kujitahidi kufuata masharti ya kutokuwa nazo kama makala ilivyoeleza katika post yangu ya kwanza hapo juu.

Ukiona hii mistari ujue kasha beba mimba
 
Hii yote mliyo weka hapa ni ya matatizo, ila ipo ile ya utamu ukiiona tu lazima centre forward aanze fanya makeke. Pia kuna wanaume wana iyo michiri nao mnasemaje?
 
daaaah huko hakuna maelezo ya kiswahili sehemu uliyo pesti huu uzi mkuu
 
Yakiwa severe kwa kweli ni big "turnoff"!!!


Ukiona ya Aina hii, inakuwa si ya Unene , ila anakuwa ametumia Movate cream, iliwaharibu akina dada wengi sana, na hata ukiangalia jinsi ilivyojitokeza ni mipana kama amekatwa na kisu, ila ile ya unene inakuwa membamba.
 
hapana mkuu...sio ugonjwa huo..ni maumbile tu.
huo ni ugonjwa na unatokana na baadhi ya akina dada kutumia vipodozi ambavyo vina sumu fulani suluhisho ni kwenda hospital kwa ushauri zaidi pole sana kaka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…