Nyakijooga
JF-Expert Member
- Dec 9, 2018
- 276
- 473
Mji wa Kisemvule - Mkuranga Mkoani Pwani umekuwa na ongezeko la watumia barabara kadiri siku zinavyoenda mbele.
Hali hiyo imesababisha kuwa na ongezeka la kufutika kwa alama za pundamilia zilizowekwa barabarani hasa eneo la stendi, stendi ya zamani na Msikiti Mweupe.
Mbali na hapo madereva wamekuwa na kawaida ya kutoheshimu zebra hizo hata zikiwemo.
Tunaomba ikiwezekana taa za barabarani ziwekwe kwa ajili ya kivuko katika maeneo niliyotaja, pia Serikali inaweza kuweka matuta au zebra zichorwe upya na kuwepo na Askari Trafiki hasa muda wa Jioni ambapo kunakuwa na vurugu nyingi barabarani.
===========