Misuguano, migomo na minyukanyo ya kisiasa inawaimarisha

Misuguano, migomo na minyukanyo ya kisiasa inawaimarisha

The Phylosopher

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2015
Posts
1,968
Reaction score
2,957
Ukitumia jicho la tatu utagundua kwamba aina ya misukosuko wanayopitia ndugu zetu inawakomaza sana.

Yaani ukiwa kiongozi wa hiyo jamii haikupi muda hata wa kuhudhuria matamasha hadi kuwaita wanyama majina ya watu.

Hali hiyo inawafanya raia wao wawe majasiri washindani na wenye uthubutu mkubwa sana kwenye dunia yenye kila ushindani.

Kinyume chake ni kwamba mahali ambapo watu hawana muda wa kuhoji masuala mazito na wanahoji pet issues viongozi wao hulala na kuanza kufanya vitu vya kijingajinga.

Yaani mara gen z hujakaa sawa mgomo wa madaktari kabla hujakaa sawa walimu wagoma.
 
Hahaha tubumoe tu haka kamtumbwi,kazame halafu tuone nani anajua kuogelea na kupiga mbizi?
 
Back
Top Bottom