Wanawake wengi wa kiafrica hupenda kusuka nywele mbalimbali lakini wengi wao sikuhizi hupenda kusuka mtindo ujulikanao kwa jina la yeboyebo ,mtindo huu hutumia rasta zaidi ili kuweza kuwa na mvuto .
View attachment 684615
Mtindo huu husukwa sana na watu wote kwa kuwa umeonekana hauna madhara kwa mtu yeyote wakiwemo wadada,wamama, pamoja na watoto
View attachment 684613
Msusi wa yeboyebo hutumia masaa mawili au moja na nusu kuweza kummaliza mteja wake kwani kuna baadhi ya misuko mingine huchukua zaidi ya masaa manne kuweza kukamilika .
View attachment 684611
Yeboyebo imeonenekana kushika chati kwa kwa kasi kwani wanawake wengi husuka msukohuo tofauti na misuko mingine .
[
View attachment 684609 View attachment 684610