Misuko mipya ya yebo yebo 2018

Kama najiona vile ninavyokuja kupigwa kizinga cha saloon....

By the way zile pesa mnazotuombaga za kusuka, ni bei halisi au huwa mnapiga cha juu?
 
Mizuri sana sasa misuko hiyo si mpaka uwe na nywele nyuing maana mm mke wangu ananywele 2 tu kinyonyoke alaf nywele zake nyepesi sana kafanya kila jitihad wap
 
Mizuri sana sasa misuko hiyo si mpaka uwe na nywele nyuing maana mm mke wangu ananywele 2 tu kinyonyoke alaf nywele zake nyepesi sana kafanya kila jitihad wap
Mwambie atumie black castor oil nywele zitajaa na kukua pia. Misuko anaweza suka ambayo ni friendly kwa nywele ili zisikatike hata kny hizi pic mingi ni rafiki.
 
Kuna misuko huwa nikiiona najiuliza hivi nitalalaje usiku, manake duh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…