-mseto_
Member
- Jul 30, 2017
- 92
- 47
Movie za mapigano Bongo zinakwama wapi asee, naona tumerudi kwenye tamthilia za masimulizi nazo bado stori zile zile unaikumbuka Misukosuko, na Penzi la Misukosuko.
Uliangalia ulikuwa kibanda umiza au we wakishua uliangalizia home. Nakumbuka enzi izo baada ya kuangalia movie mnatoka nje kwenda kujarib mapigo, time iko kasi sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Uliangalia ulikuwa kibanda umiza au we wakishua uliangalizia home. Nakumbuka enzi izo baada ya kuangalia movie mnatoka nje kwenda kujarib mapigo, time iko kasi sana.
Sent using Jamii Forums mobile app