Ile sound track inayopatikana mule kwenye parts za huzuni naitakaga sana ile cjui nitaipata vp
Sent using Jamii Forums mobile app
Za mwizi ni arobaini? Au upiNaombeni jina la ule wimbo ambao unaimba wakiwa Disko. Wimbo fulani wa kuchezeka anaimba mwanamke na mwanaume, ni wimbo maarufu sema tu mafaili yangu yamechanganyikana kidogo
Girl yuh ah lead- T.O.K ft nina skyNaombeni jina la ule wimbo ambao unaimba wakiwa Disko. Wimbo fulani wa kuchezeka anaimba mwanamke na mwanaume, ni wimbo maarufu sema tu mafaili yangu yamechanganyikana kidogo
Shakira- hips don't lieNaombeni jina la ule wimbo ambao unaimba wakiwa Disko. Wimbo fulani wa kuchezeka anaimba mwanamke na mwanaume, ni wimbo maarufu sema tu mafaili yangu yamechanganyikana kidogo
Asante mkuu wimbo ni huo huo Shukrani sana.Shakira- hips don't lie
Inaitwa TANZIA ya muda murefu sana alicheza Dude,Joan Chilo na Frank MwikongeHv Cobra squad ya wakenya nani anaikumbuka?
Na ile bongo movie moja alikuwepo dada mmoja wazazi wake waliuliwa utotoni akatengana na mdogo wake wa kiume. Mdogo wake wa kiume akaja kuwa judge/polisi (sikumbuki vzr) huyo manzi yeye akawa jambazi anawasaka waliowauwa wazazi wao. Manzi akaja kukamatwa na aliekua anasimamia hio kesi ni huyo mdogo wake wa kiume.
Hizo ndo zilikua movie aiseee
Tanzia ilikuwa chuma sanaInaitwa TANZIA ya muda murefu sana alicheza Dude,Joan Chilo na Frank Mwikonge
Ila sidhani kama ndiyo hiyo ambayo mdau kaizungumziaTanzia ilikuwa chuma sana