Cesc Henry Sn
JF-Expert Member
- Nov 8, 2012
- 217
- 123
Hii migogoro isipotatuliwa vizuri kuna uwezekano wa timu kuboronga msimu ujao...viongozi wawe makini
Yeah wasipofanya jitihada za msingi mbona tunapoteanaKiukweli Yanga naitazamia kufanya vibaya kwa namna walivyokuwa wakibweteka
Aaaaaaa Joseeee unakuwa km mgeni na yanga africa? unaniangusha chief mi shabiki yko ujue u have to behave kwa kila unachofanya ama kuongea kawaida utaskia hvyohvyo mara tuna ukata mara manji kajitoa hujakaa sawa Ngoma na Niyonzima simba oh Chirwa na Msuva hawapo kambini mara Tambwe ana bifu na kocha tutafute mwisho wa msimu ss km kawaida tunanyanyua kwapaaaaaaaaa hzo propaa tu kututoa kwenye relini!Hii migogoro isipotatuliwa vizuri kuna uwezekano wa timu kuboronga msimu ujao...viongozi wawe makini
Aaaaaaa Joseeee unakuwa km mgeni na yanga africa? unaniangusha chief mi shabiki yko ujue u have to behave kwa kila unachofanya ama kuongea kawaida utaskia hvyohvyo mara tuna ukata mara manji kajitoa hujakaa sawa Ngoma na Niyonzima simba oh Chirwa na Msuva hawapo kambini mara Tambwe ana bifu na kocha tutafute mwisho wa msimu ss km kawaida tunanyanyua kwapaaaaaaaaa hzo propaa tu kututoa kwenye relini!
Mlishazoea tambo za usajili ila siku hizi Yanga hawana hiyo wao wanasajili kitaaalam tena bila kelele ndo mana wanachukua ubigwa mfululizoKuelekea msimu wa 2017/18 timu ya Yanga mabingwa mara 3 mfurulizo wa Vodacom Premier League wakiwa hadi sasa hawajielewi bajeti ya timu kwenye kujiandaa msimu mpya kuanzia kwenye usajili wa maingizo mapya na kubakisha wachezaji waliyo maliza mikataba yao.
Ikiwa hadi sasa kocha wao Mkuu Mzambia Luandamina bado kukabidhi report ya timu kwa msimu mpya, hofu iko kwa viongozi kutokana na Bw. Manji kuondoka na kuiacha timu, sasa kumekuwa hakueleweki ni namna gani wataweza kushindana kwenye msimu huu mpya ili kuendana na gharama za timu ikiwa haina vyanzo vya kueleweka ukiachana na udhamini mpya wa SportPesa...