INAUZWA Misumeno na yenye ala inauzwa

INAUZWA Misumeno na yenye ala inauzwa

ntakisigae

Senior Member
Joined
Nov 26, 2013
Posts
186
Reaction score
66
Misumeno na yenye ala inauzwa.
Ni mikali na imara sana.
Inafaa sana kwa shughuli za nyumbani,kambini,ufundi.
Inafaa pia kukatia pemba za ng’ombe na mbuzi.
Wahi ofa hii katika bei ya shilingi 10,000/= kwa mmoja.
Misumeno ipo kumi kwa sasa, na inaweza kutumwa popote nchini kwa uaminifu mkubwa.
Mawasiliano:0685381338
Napatikana Mkuranga,Pwani.
7EDC3A98-C69E-48AB-9E3E-7239131A46B1.jpeg
7872F5DB-5D3B-456C-AC3F-591C9405E615.jpeg
40CCC3E2-B559-48BB-B199-2A3826163621.jpeg
3EEE8CAB-9E80-46B1-9034-78A42E67A162.jpeg
1173AE2B-9960-48C0-AACD-280B55E9AD69.jpeg
 
Back
Top Bottom