Miswada ya Karamagi inaweza kupatikana?

Miswada ya Karamagi inaweza kupatikana?

Dotori

JF-Expert Member
Joined
Nov 3, 2007
Posts
544
Reaction score
24
Hii miswada ya Electricity Act, 2007 na Petroleum Supply Act, 2007 ambayo Waziri Karamagi alikuwa aisome kwenye kamati ya Bunge inaweza kupatikana ili nasi tujue kilichomo. JF inatembelewa na watu wengi ikiwa pamoja na wahusika, hivyo michango inaweza kusaidia kuboresha miswada hii. Wenye access tunaomba mtuwekee hapa.
 
Wadau tunaweza kupata nakala ya miswada ya Electricity Act, 2007 na Petroleum Supply Act, 2007?
 
Back
Top Bottom