Miswaki hua inafanya nini kwenye mabafu ya kike?

kindikinyer leborosier

JF-Expert Member
Joined
Jan 6, 2018
Posts
456
Reaction score
833
Nawasalim

Moja kwa moja kwenye mada, nimejaribu kuchunguza kwa muda mrefu mabafu ya ke, unakuta miswaki mingi kweli, imewekwa.

Mwanzo nilijua labda ya kuswakia, lakini nilikuja kukataa hoja hiyo baada ya kukuta bafu lingine kuna kopo hiv humo ndani ameweka na sabuni pamoja na dodoki!

Nauliza tuu, lengo ni kutaka kujua, kama ni kufanya usafi baadh ya sehemu, ni sehem gani hizo?
 
Mama D ninakusubiri siti ya mbele
 
Ulikuwa ni mtego wao kujua ni mwanaume gani anaingiaga kwenye choo cha kike.watakuzingua kwa udharirishaji
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…