MR.NOMA
JF-Expert Member
- Feb 1, 2014
- 339
- 505
Wakuu habari za Leo! Naomba niwashirikishe sakata la kungolewa Mita/ Dira za Maji na Koki lililotokea usiku wa kuamkia Leo huku kwetu Kiluvya Madukani/Almaarufu kwa Omari, Makurunge Jirani na shule ya Msingi Maximilian.
Ambapo , Leo asubuhi wakazi wengi wa maeneo haya wenye mita mpya za maji, ambazo wengine wanaita za kisasa wameamka na kukuta zimeondolewa na pamoja Koki za maji. Inavyoonesha ni kuwa Zoezi hili limefanyika usiku wa manane.
Swali je Nani ameng'oa Mita hizi? DAWASA au Vibaka? Na kama ni vibaka wamewezaje kujipanga na kufanya uhalifu huu nyumba zaidi ya 10 kwa Muda mfupi sana?
Kwanini wamefanya ivo, Nini kimo ndani ya Mita hizi? Tunaomba waziri Mwenye dhamana shughulikia hilo haraka. Nina amin Dawasa- Kibamba- Luguruni pale wilayani- Leo wamepata kesi nyingi sana.
Pia police Gogoni, namna watu walivya kuwa wakipambana kuhakikisha wanaripoti matukio haya.
Tunaomba Mh. Waziri aingilie kati maana,Majibu ya ofisi DAWASA ni hao ni wezi wameiba. Ikumbukwe Mita za maji zinakaa nje ya nyumba/ fensi.