mita ya mraba sh 3000 mtwara

mita ya mraba sh 3000 mtwara

yungsteval

JF-Expert Member
Joined
Feb 21, 2014
Posts
309
Reaction score
109
twendeni mtwara wajameni tukachukue ardhi kule......kutakuwa hakushikiki baadae...for more info gazeti la mwananchi la tar 21 feb....
 
Mitaa gani hizo bei, maana mtwara ya sasa si ya enzi zile!
 
Kiongozi hueleweki,unaandika kama darasa la pili bwana,(
twendeni mtwara wajameni tukachukue ardhi kule......kutakuwa hakushikiki baadae), ndio maana yake nn?​


 
Kiongozi
hueleweki,unaandika kama darasa la pili
bwana,(
twendeni mtwara wajameni tukachukue ardhi
kule......kutakuwa hakushikiki baadae), ndio maana yake nn?​



gazeti la mwananchi la jana lina info zote.....asante
 
Back
Top Bottom