JAYJAY JF-Expert Member Joined Oct 31, 2008 Posts 8,191 Reaction score 8,490 Sep 29, 2009 #1 hivi hizi mita za umeme za namba za tanesco zimeunganishwa na mtandao?maana ukikosea namba umeme hupati,sasa zinagundua vipi namba alizoingiza mteja sio sahihi?
hivi hizi mita za umeme za namba za tanesco zimeunganishwa na mtandao?maana ukikosea namba umeme hupati,sasa zinagundua vipi namba alizoingiza mteja sio sahihi?