Financial Analyst
JF-Expert Member
- Nov 27, 2017
- 2,404
- 5,682
Jaribu police mzimbziHERI YA MWAKA MPYA WAKUU!!!!!!
Ni mitaa ipi k.koo inafaa kuweka biashara ya mikoba special ya wadada?
Mkuu uko dar pande zip?HERI YA MWAKA MPYA WAKUU!!!!!!
Ni mitaa ipi k.koo inafaa kuweka biashara ya mikoba special ya wadada?
Niko g.mboto ila kwa sasa ni mkoani, hivi fremu za pale msimbazi wanaweza kunigonga kilemba cha shingapi..Mkuu uko dar pande zip?
Kwa miaka hii 2015 ilikua lakini mbili na nusu na unalipa ya mwaka zipo adi za laki 5Niko g.mboto ila kwa sasa ni mkoani, hivi fremu za pale msimbazi wanaweza kunigonga kilemba cha shingapi..
Kilemba sio kodiKwa miaka hii 2015 ilikua lakini mbili na nusu na unalipa ya mwaka zipo adi za laki 5
Aha hapo sijajua mkuuKilemba sio kodi
Kodi ni 1m, laki 8, laki 5...inategemeaana na sehemu na ukubwa.Kwa miaka hii 2015 ilikua lakini mbili na nusu na unalipa ya mwaka zipo adi za laki 5
2015 ulikuwa k.koo?Aha hapo sijajua mkuu
Duh ila kwa pale Sawa tuKodi ni 1m, laki 8, laki 5...inategemeaana na sehemu na ukubwa.
Bado kilemba hapo...
Kuna shemeji yangu alikua a napiga job pale2015 ulikuwa k.koo?
Okey, heri ya mwaka mpyaKuna shemeji yangu alikua a napiga job pale
Asante mkuu na kwakoOkey, heri ya mwaka mpya
We una uzoefu pale?Okey, heri ya mwaka mpya
No mkuu..ndio hivyo tunasaka ushauri humu jfWe una uzoefu pale?
Aha MI nataka mwez wa 3 niende nifate vifaa vya Sola vidogovidogo..No mkuu..ndio hivyo tunasaka ushauri humu jf
Hongera mkuu..ndio hivyo kupambanaAha MI nataka mwez wa 3 niende nifate vifaa vya Sola vidogovidogo..
Nashukuru.. Ila nakuja kuuzia mikoani kutembezaHongera mkuu..ndio hivyo kupambana
Sawa sawa...uwe unakadilia mida ya mavuno..wakulima wakiwa wameshapiga pesa wananuaga sana solar... nakuombea mkuuNashukuru.. Ila nakuja kuuzia mikoani kutembeza
Ndo mida iyo iyo mkuu japo uku nilipo Kuna msimu mda wote wanalima mbao ko masemi yanapita mda woteSawa sawa...uwe unakadilia mida ya mavuno..wakulima wakiwa wameshapiga pesa wananuaga sana solar... nakuombea mkuu