Kina Omera wameenda wapi?Hata hii barabara ya Ingri juu iko tupu kabsa
Ndo wapi huko mkuu?Hata hii barabara ya Ingri juu iko tupu kabsa
Mpaka sasa Muajemi keshachezea 3Halafu wanachapwa na Irani 😀😀😀
Sasa Henderson anamweka Nani benchi?Yaani uingereza hakuna mchezaji wa liver aliyeanza! Naomba waishie 16 Bora tu
SubutuuuHalafu wanachapwa na Irani 😀😀😀
Mkuu karibu hapa G8 shirati tucheki ball la England nina beer zako.Hata hii barabara ya Ingri juu iko tupu kabsa
Trent je?Sasa Henderson anamweka Nani benchi?