God'sBeliever
JF-Expert Member
- Sep 1, 2015
- 5,788
- 3,033
Habari zenu wana Jf.
Kutokana na hali ya ngumu ya kiuchumim kuwa ngumu nimeamua nijipange upya kabisa, kwanza nataka nijue mitaa ya Dar, Mwanza au Moshi mjini mjini na sehemu nyingine naweza kupata bidhaa na mapochopocho kibao kwa bei nafuu.
Kwa walioko Iringa mjini kuna sehemu kuna soko linaitwa ofaya yan kule vitu ni bei chee mno hasa wakati wa jioni. naombeni mnijuze pia nawengine wenye wazo kama langu watapata mwangaza mkubwa. hali ya maisha ngumu sana.
Vitu vyenyewe navyotaka ni kama nguo, wale vijana wenzangu na wengineo wanazpata dikiz, diokaz n.k. mashat, surual raba na bidhaa nyingne,
Sofa, Radio, Tv, Laptop, Simu, Vifaa vya umeme n.k. kwa wanaojenga wanaoanza maisha ya kujitegemea na kujenga nyumba za kuishi karibuni mwenzeno ndo naanza.