Mitaa/vitongoji/vijiji vya Tabora

Mitaa/vitongoji/vijiji vya Tabora

Ulimakafu

JF-Expert Member
Joined
Mar 18, 2011
Posts
31,248
Reaction score
13,244
Kwa wale wanaokufahamu kwa yule mtemi maarufu wa enzi hizo Milambo na mwenzie Isike,tukumbuke kidogo maeneo mbalimbali ya huko,iwe mitaa,vijiji,vitongoji nk kama:
Isevya
Kanyenye
Ngoma Sakasi
Ipuli
Makokola
Kaze Hill
Nata
Sikonge
Kaliua
Bachu

Jimbo la Sikonge - kata / vitongoji - Mtemi Lugusha:

Chabutwa,
Ipole,
Udongo
Mibono mpya
Kiloleli
Usunga I na Usunga II
Msua
Kininga
Utimule
Mlogoro
Lembeli

Mwanza road
Intonjanda
Kazima
Bomba mzinga
Usule
Masagara
Cheyo
Itaga
Masange
Ilolangulu

Kwa wale wanaokufahamu kwa yule mtemi maarufu wa enzi hizo Milambo na mwenzie Isike,tukumbuke kidogo maeneo mbalimbali ya huko,iwe mitaa,vijiji,vitongoji nk kama:

Isevya

Kanyenye

Ngoma Sakasi

Ipuli

Makokola

Kaze Hill

Nata

Sikonge

Kaliua

Bachu

Ulimakafu, ibiri, itonjanda, ifucha, inala, inagana,igoko, isikizya, izimbili, mabama, goweko, igalula, kizengi, tura, misole, ikongolo, mbola n.k. Hiyo ni wilaya ya uyui

Ulimakafu, ibiri, itonjanda, ifucha, inala, inagana,igoko, isikizya, izimbili, mabama, goweko, igalula, kizengi, tura, misole, ikongolo, mbola n.k. Hiyo ni wilaya ya uyui
Polisi kweli wewe ni mjuvi wa huko wilaya mpya,list yako imenikuna.

Mara ya mwisho ulikwenda TBR lini? Maana jina hili lilitumika enzi rais alikuwa anaitwa rais nyerere
Ha ha haa,jina si bado lipo?
Manoleo
Kaguwa
Ndono
Iselamagazi
Ipole
Usoke
Ilalansimba
Igoko
Cheyo

Mkoa Tabora, Wilaya Nzega.
Baadhi ya vijiji vyake ni:
CHOMA,
ZIBA,

Kwahiyo kama unatoka Nzega kwenda Dar, Ziba inakuwa Mbele na Choma Nyuma.

Mkoa Tabora, Wilaya Nzega.
Baadhi ya vijiji vyake ni:
CHOMA,
ZIBA,

Kwahiyo kama unatoka Nzega kwenda Dar, Ziba inakuwa Mbele na Choma Nyuma.

Mkuu sidhani kama ZIBA NA CHOMA ZIPO NZEGA. Mi najua vipo IGUNGA. Ngoja niendeleze orodha ya igunga. iborogero, nyandekwa, ndembezi, ulaya, nkinga, mwisi ( kwa rostam), igumo, majengo, simbo, uswaya, igoweko, sungwizi, nguliti, bukoko, ncheli, ugaka, moyofuke, mwakabuta, ntigu, kitangiri. Du, ngoja nipumzike kidogo, nitaendelea.......

nilifika sehemu inaitwa miti mitatu ila sijui iko wilaya gani?

Pia kuna mwakanshala,mwanhala,mambali nata iborogele nkinga uchama kitongo ushirika nyasa bukene igurubi!

Washkaji yaani masagara na ikindwa mmezisahau au ndo mmezipotezea. any way mimi na add kiloleni, chemchem na mtaa wa chamng'anda

Busondo
Mwisi
Mabama
Mwanhala
Utwigu
Nkinga
Igoko

Mayombo
Wita
Kalitu
Kipalapala
National

Kwa wale wanaokufahamu kwa yule mtemi maarufu wa enzi hizo Milambo na mwenzie Isike,tukumbuke kidogo maeneo mbalimbali ya huko,iwe mitaa,vijiji,vitongoji nk kama:

Isevya

Kanyenye

Ngoma Sakasi

Ipuli

Makokola

Kaze Hill

Nata

Sikonge

Kaliua

Bachu

Rufita je, pia kuna mahali palikuwa panaitwa kantaroli (sijuoi ndio controll?), cheo, ilolanguru, ulankulu nk.

Back
Top Bottom