Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
The beauty is gone forever! What a waste ...! Kweli nothing is permanent..!!!
Madaraka sijui yana laana gani hasa yakisha mwaga Damu basi tenaWalifikia ustaarabu huu na kuuharibu kwa vita ya kugombania madaraka.
Wanadamu bahna walijenga weneyewe na wakalibomoa weneyewe
Acha kabisa na mwanadamu akishakalia kiti kile kutoka huwa hataki tenaYakisha mwaga damu huwa yanawatoka bila wenyewe kujijua.
Naam ni kama ccm tu ipo kwenye.peak na it fall tuEvery civilization will rise and fall...
🤣 🤣 🤣 🤣 Nimechka mpaka watu wananishangaa hukuKile kiti ni kitamu acha tu, unalotamka linakua ukiwa katika kile kiti, kama vile umeshikilia taa ya Aladdin. Ukisema Chato kuwe na Airpor mara imetokea.