mitaala ya elimu ya kiswahili bongo

Analogia Malenga

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2012
Posts
5,108
Reaction score
10,191
Nimekuwa nafuatialia sana midahalo kuhusu elimu. nimepata wazo kuhusu hii proposal ya kiswahili kuwa ya kufundishia tangu darasa la kwanza mpaka chuo.wazo langu. wabongo hawapendi kuandika vitabu, hata waandishai wabongo hawakubaliki mf. Nyambari Nyangwine, Zisti kamili, Ambilikile. nk. sasa hao watakao andika kiswahili watatoka wapi?sababu zangu za kukataa kiswahili ni;


  1. watanzania hawapendi kuandika vitabu vingi vizuri ni vya wazungu. sasa kama hujui kiingereza utasomaje?
  2. ulimwengu wa digital vitu vingi vina kiingereza mf, simu, visimbuzi, tarakishi, nakilishi, luninga nk
  3. lugha zinazotambulika kidigital ni espaniola, english, chinese, arabic, french.
  4. hatuna misamiati mingi ya ktk sayansi hata geography sasa kama itakuja kwa kiswahili itabidi wataalamu wa istlahi waanze halafu walimu warudi shule. kazi ipo
  5. ktk shule zetu st kayumba tunafundishwa kiswahili na bado hatuelewi. mf. mwalimu anasema ' ktk simple present unaongeza es au s kwenye verb' code mixing kibao, ila patupu.
sasa wanaotaka kiswahili wamefikiria kuhusu hizo kitu. sio kama na dis kiswahili ila kiswahili bado hakipo kimataifa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…