S samida Member Joined Jan 6, 2011 Posts 35 Reaction score 0 May 6, 2011 #1 Nahitaji kufungu kituo cha redio kwa ajili ya kurusha matangazo kwa masafa ya FM. Naomba sana wana JF mnielekeze kama ninaweza kupata mitambo hapa nchini au hadi niagize nje ya nchi?
Nahitaji kufungu kituo cha redio kwa ajili ya kurusha matangazo kwa masafa ya FM. Naomba sana wana JF mnielekeze kama ninaweza kupata mitambo hapa nchini au hadi niagize nje ya nchi?