Kyachakiche
JF-Expert Member
- Feb 16, 2009
- 986
- 208
Huo mguno unaweza pia kuashiria jinsi muulizaji swali alivyoshindwa kutofautisha kati ya generator ya kawaida na mitambo ya dowans!Lakini kwa nini yule mtaalam alipoulizwa "mbona haya majenereta yanafanya kazi?" akajibu ..."aah..we acha tu.." kuna dalili za ukweli katika hili muhimu ni kufuatilia.
Nimeona tangazo la tenda ya kusuply $WD tano kwa ajiri ya mradi wa mabsi kasi ya dar (DART) huu ni mwanzo mbaya, nilitegemea wawe na makari matatu yaani mobile workshop moja ambayo ingeletwa na supplier wa mabasi, ambulance moja na gari ndogo kama hilux kwa ajiri ya fleet co-ordinator. maofisa wengine wapewe transport allowance na watumie magari binafsi, siku hizi hakuna cashier anaepeleka fedha bank kuna G4S wanamagari maalumu ya cash-on-transit.