Mitambo ya kufua oksijeni kusimikwa katika Halmashauri 5

beth

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
3,880
Reaction score
6,368
Waziri wa TAMISEMI, Ummy Mwalimu amesema Serikali itasimika mitambo mitano ya kufua Oksijeni katika Halmashauri za Karatu, Mlele, Bunda, Masasi na Nyasa ambapo kila moja itapata Milioni 600

Akizungumza leo akiwa Dodoma ameeleza, "Wataalamu wameangalia maeneo yenye mlipuko wa magonjwa ya mara kwa mara, yenye Wananchi wengi na yaliyo mbali na Makao Makuu ya Halmashauri"
 
Kama hospitali ya wilaya bado simikeni katika kituo cha afya Karatu sio KLH.
 
wanajamii halmashauri ya wilaya nyasa iko mkoa gani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…