Huyo Chala anatumia ualimu wake wake wa kuongea na isitoshe Huwa anaamka nazo za Jana!Amani iwe nanyi watumishi wa MUNGU katika KRISTO YESU
Nchi hii Kuna mitambo miwili ya lopolopo
Yaan hawa jamaa ukiwasikikiza mpaka unajiuliza hivi hawa wako timamu kweli? Hawa
Kinacho watoka midomoni mwao ni lopolopo lopolopo tu
Changamoto kubwa sana
LONDON BOY
Misimu piaAmani iwe nanyi watumishi wa MUNGU katika KRISTO YESU