Mitambo ya ujenzi wa bara bara ya kukodisha inahitajika

Vitalis Msungwite

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2014
Posts
3,292
Reaction score
7,867
Madibira AMCOS inahitaji mitambo ya ujenzi wa bara bara. Mitambo hiyo ni excavator, tipa, boza, rola(sindilia) na greda.

Mkodishaji awe na uwezo Wa kutoa risit za EFD na awe na leseni ya biashara.

Kwa kampuni, taasisi au mtu binafsi anaemiliki mitambo ya kukodisha aandike barua na kuituma kwenda kwa MENEJA MAMCOS LTD,P.O.BOX101 MBARALI, Maombi yatumwe kwanjia ya email
mamcosltd@gmail.com

Maombi yatumwe kabla ya tar 15/09/2021.

Katikabarua aeleze ghalama za kukodisha kila mtambo kwa siku.

Au unaweza kuwasiliana na Mwenyekiti kwa maelezo zaidi kwa namba +255766748456

IMG_20210910_072031_650.jpg
 
Akiishapata akairaji op wa excavator nishtue
 
Bro wakiitaji mtaalam technician nipo .
 
Jengeni haraka mnapata tenda afu vifaa hamna ni ubabaifu sana huu..

Km moja ya lami mnajenga kwa kiasi gani? huku kwetu hatuna barabara tokea dunia imeumbwa.
 
Jengeni haraka mnapata tenda afu vifaa hamna... ni ubabaifu sana huu..

Km moja ya lami mnajenga kwa kiasi gani? huku kwetu hatuna barabara tokea dunia imeumbwa.
Poleni sana, Mzee kasepa bila kuwaachia zawadi ya barabara
 
Jengeni haraka mnapata tenda afu vifaa hamna ni ubabaifu sana huu..

Km moja ya lami mnajenga kwa kiasi gani? huku kwetu hatuna barabara tokea dunia imeumbwa.
Hao watakuwa wanafanya barabara za vumbi
 
Fundi barabara kwa maana ya??
Mkuu kwani Engineer in simple term ya kiswahili ni Nini labda.
Mie nitahakikisha na organize mashine zifanye kazi according like clearing and grubbing, removal of top soil, excavation to the required depth aka removal of unsuitable soil, dumping well gravel materials from examined and tested borrow pit by material Engineer team.inatosha hii mkuu so umeelewa fundi sio kuwa lazima nishone nguo.

Pia Kuna fundi wa kumtibu binadamu,anamkatakata ,anamshona Kama cobbler ashonavyo viatu.
 
Mi najua kiswahili engineer anatambulika kama mhandisi sio fundi
 
Nimekuambia in simple term ama haunielewi.
Huyo mhandisi bibi zetu ambao hawakusoma huko kijijini wanamjua kweli.kumbuka iyo term ya Mhandisi sio common sehemu zote.
Na iyo ni kiswahili ama neno jipya. Limezaliwa halina muda mrefu Sana.
Ama unaweza ukasema Lina miaka Kama 500 kweli ama.
 
Madibira AMCOS inahitaji mitambo ya ujenzi wa bara bara. Mitambo hiyo ni excavator, tipa, boza, rola(sindilia) na greda.

Mkodishaji awe na uwezo Wa kutoa risit za EFD.

Kwa kampuni, taasisi au mtu binafsi anaemiliki mitambo ya kukodisha tuwasiliane kabla ya tar 15/09/2021

Au unaweza kuwasiliana na Mwenyekiti kwa maelezo zaidi kwa namba 0766748456

mkuu karibu tufanye kazi tupo ubungo pia mitambo ipo katika hali nzuri
 
Jengeni haraka mnapata tenda afu vifaa hamna ni ubabaifu sana huu..

Km moja ya lami mnajenga kwa kiasi gani? huku kwetu hatuna barabara tokea dunia imeumbwa.
Halafu kapataje tenda bila kusubmit barua ya yule atakaye mkodisha kutoa barua au ndiyo anaenda kuomba tenda?
 
Back
Top Bottom