Mitandao ilimuua Lucy Kibaki kabla na sasa inammaliza Mwai Kibaki kabla hajafa

Mitandao ilimuua Lucy Kibaki kabla na sasa inammaliza Mwai Kibaki kabla hajafa

Pdidy

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
57,951
Reaction score
32,619
Kenyaforums, mtandao ulioshika kasi Kenya umeweza kuua baadhi ya viongozi. Ni majuzi tu ilitangaza mama Lucy Kibaki amefariki ingawa story alikuwa hospitali hoi.

Majuzi kati wakaja na Hon. Moi kafa ikajulikanaa in urongo.

Leo wamesambaza habari Hon. Mwai Kibaki kafariki. Wakenya mnajua yuko hai hajafa mmekaa kimya ipo siku huu mtandao utaua wake zenu.

Amkeni, nahisi ni wakati wa Serikali kuchukulia hatua kama Hon. Kibaki ni mzima.
 
Back
Top Bottom