Mitandao na CHADEMA 0 vs Spika 2 mechi inaendelea

Mitandao na CHADEMA 0 vs Spika 2 mechi inaendelea

comte

JF-Expert Member
Joined
Dec 11, 2011
Posts
9,019
Reaction score
6,825
CHADEMA na wanaharakati wanamdharau na kupuuza ushauri wa Spika.
1. kwenye suala la akina Mh. Mdee kawashauri nini cha kufanya mnampuuuza nao wanaendelea kubaki bungeni GOOAL.

2. kwenye suala la Mh. Lissu kawashauri nini cha kufanya mkampuuza sasa mnaleta oh Lissu analipwa matilioni- kawambia kwa orodha mlioweka mitandanoni kwa mbwebwe yumo na Ridhwani na ilishalipwa GOOAL.

SCORE
NYINYI 0- YEYE NA UTARATIBU 2

Edeleeni na kumpuuza
 
Aibu kwa mtu uliopo JF Since 2011 halafu unaandika mipasho, you can do better than this..
Mkuu naamini kuwa una amini katika uhuru wa mtu kutoa mawazo yake. Sikutegemea kutukanwa na wewe. Hata hivyo dharau na mapuuza ni kikwazo cha uelewa na ufanisi. Ndiyo maana Mh. Mdee atabaki bungeni na Mh. Lissu hatalipwa hata senti moja.
 
Badilisha hiyo heading. Hivi unajua kuna wana ccm wangapi wanamdharau spika?

Ndugai hadharauliwi na chadema pekee, makumi ya maelfu ya waTanzania wanamdharau sana spika wakiwa chadema, ccm na hata wasio na vyama
 
Chadema kukosa dira na muongozo kama chama kutegemea genge la wahuni na wanaharakati uchwara ndio linalowagharimu kila siku.

Jana kikundi cha wahuni cha chadema kikatunga uongo na uzushi kwa kutoa orodha ya majina ya wanaodai ya mwaka 2018 na kumsingizia Mama Samia ili tu kutafta attention ya Lissu.

Hiki chama na kikundi cha wacheza ngoma za laki si pesa hawana tofauti.
 
Mkuu naamini kuwa una amini katika uhuru wa mtu kutoa mawazo yake. Sikutegemea kutukanwa na wewe. Hata hivyo dharau na mapuuza ni kikwazo cha uelewa na ufanisi. Ndiyo maana Mh. Mdee atabaki bungeni na Mh. Lissu hatalipwa hata senti moja.
Ukiwa na akili ndogo kama zako wewe ni shida sana.

Halima mdee amebaki bungeni kwa sheria ipi? Anayembakisha bungeni ndiyo anaonekana mpumbavu kuliko huyo mdee mwenyewe.

Suala la lisu! Nalo unashangilia kama hajawahi? Ndugai na lisu nani credible source ya madini ya lisu?

Ndugai anajuaje kwamba lisu anatakiwa?

Muwe na aibu kidogo bhana
 
350Millions
Zimerudishwa kwa Spika Ndugai baada ya Mbowe kushindwa Kesi leo hii Mahakama kuu imeamua hilo.
Tunamshukuru sana Ndugai ..
Karibuni tuendelee kunywa...
 
Back
Top Bottom