Mkuu naamini kuwa una amini katika uhuru wa mtu kutoa mawazo yake. Sikutegemea kutukanwa na wewe. Hata hivyo dharau na mapuuza ni kikwazo cha uelewa na ufanisi. Ndiyo maana Mh. Mdee atabaki bungeni na Mh. Lissu hatalipwa hata senti moja.Aibu kwa mtu uliopo JF Since 2011 halafu unaandika mipasho, you can do better than this..
Ndo maana teuzi zinakwenda upinzaniš¤£Alafu tunaambiwa eti uvccm wanapinga ushoga, nini hiki umeaharisha?
Ukiwa na akili ndogo kama zako wewe ni shida sana.Mkuu naamini kuwa una amini katika uhuru wa mtu kutoa mawazo yake. Sikutegemea kutukanwa na wewe. Hata hivyo dharau na mapuuza ni kikwazo cha uelewa na ufanisi. Ndiyo maana Mh. Mdee atabaki bungeni na Mh. Lissu hatalipwa hata senti moja.