Wanakhofia kuulizwa maswali magumuNdugu zangu hivi ni Mimi tu au ni Kwa wote nikipiga huduma Kwa wateja Kwa nia ya kuongea na mhudumu kuhusu tatizo lolote la kimtandao huwa sipati chaguo la kuongea na mhudumu wetu kama ilivokuwa zamani nmeshangaa sana Kwa mitandao yang yote nayotumia ya Voda na Airtel hili suala mnaliaddress vp wadau wa JF
Ndugu zangu hivi ni mimi tu au ni kwa wote? Nikipiga Huduma Kwa wateja kwa nia ya kuongea na mhudumu kuhusu tatizo lolote la kimtandao huwa sipati chaguo la kuongea na mhudumu wetu kama ilivokuwa zamani.
Nimeshangaa sana kwa mitandao yangu yote ninayotumia ya Voda na Airtel.
Hili suala mnaliaddress vipi wadau wa JF?