robbyr
Senior Member
- Apr 8, 2017
- 129
- 221
Ila pale mtu anapokesea kununua vocha mfano MPESA na alikuwa anataka vocha ya 10000 [elfu kumi] bahati mbaya akanunua 100000 [laki moja] naomba mitandao iweke mfumo wa mtu kuweza kurudisha kiasi fulani ili kuokoa hasara watu wanazopata.
Naomba tupaze hili kwa kupiga kura kama unaona jambo muhimu.